Mfumo bora wa kurekodi na kufuatilia gharama za nyumbani kwa Kiswahili.
Tayari una akaunti? Ingia hapa
Rekodi matumizi ya Baba, Mama, Watoto na Wafanyakazi wa nyumbani.
Jua ni kiasi gani kimetumika kwa Chakula, Umeme, au Nguo kila mwezi.
Funga kwenye simu yako na itumie kama App halisi bila ya intaneti kila wakati.